1.11.15

Tufaham pamoja

Show ya Wiz Kid live in Dar yafana jijini Dar es Salaam..(Picha)

Edwin TZA at TZA_MillardAyo - 2 hours ago
Ni October 31, 2015 ambapo mkali kutokea Nigeria Wiz Kid alishea jukwaa moja na Fareed Kubanda aka Fid Q, Diamond Platnumz na Christian Bella kwenye show iliyopewa jina la Wiz Kid live in Dar iliyofanyika katika viwanja vya Leaders Club. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya […] The post Show ya Wiz Kid live in Dar yafana jijini Dar es Salaam..(Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.

Magazeti ya Tanzania leo Novemba 1, 2015 yameamka na hizi kwenye Michezo na hardnews

Edwin TZA at TZA_MillardAyo - 3 hours ago
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumapili Novemba 1, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Michezo na Hardnews, zote ziko hapa Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa […] The post Magazeti ya Tanzania leo Novemba 1, 2015 yameamka na hizi kwenye Michezo na hardnews appeared first on TZA_MillardAyo.

Full Time ya USM Alger Vs TP Mazembe October 31

Rama Mwelondo TZA at TZA_MillardAyo - 10 hours ago
Mchezo wa kwanza wa fainali ya klabu Bingwa barani Afrika umechezwa usiku wa October 31 kwa kuzikutanisha timu za USM Alger ya Algeria dhidi ya klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, huu ni mchezo ambao umechezwa Algeria na ndio mchezo wa kwanza wa fainali hizo ambazo kwa kawaida huchezwa nyumbani na ugenini. TP […] The post Full Time ya USM Alger Vs TP Mazembe October 31 appeared first on TZA_MillardAyo.

Full Time ya Real Madrid Vs Las Palmas October 31 (+Pichaz&Video)

Rama Mwelondo TZA at TZA_MillardAyo - 14 hours ago
Ligi Kuu Hispania Laliga imeendelea tena leo October 31 kwa vilabu kadhaa kukipiga katika viwanja mbalimbali, Real Madrid ya Hispania walikuwa wenyeji dhidi ya Las Palmas katika dimba la Santiago Bernabeu kuwania point tatu muhimu ambazo zitasaidia kujiweka katika nafasi nzuri katika msimamo wa Ligi Kuu. Real Madrid ambayo ipo chini ya kocha Rafael Benitez lakini […] The post Full Time ya Real Madrid Vs Las Palmas October 31 (+Pichaz&Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

Full Time ya Simba Vs Maji Maji FC na matokeo ya mechi nyingine za Ligi Kuu October 31

Rama Mwelondo TZA at TZA_MillardAyo - 16 hours ago
Ligi Kuu Tanzania bara imeendelea tena leo October 31 kwa wekundu wa Msimbazi Simba kuwakaribisha Maji Maji FC wanalizombe kutokea Ruvuma Songea. Simba ambayo bado inatajwa kuwa hakuna mahusiano mazuri baina ya kocha Dylan Kerr na uongozi ambao inadaiwa wanaamini kuwa timu haipo katika kiwango kizuri. Hata hivyo Simba waliingia uwanjani wakiwa na morali ya […] The post Full Time ya Simba Vs Maji Maji FC na matokeo ya mechi nyingine za Ligi Kuu October 31 appeared first on TZA_MillardAyo.

Full Time ya Chelsea Vs Liverpool October 31 (+Pichaz&Video)

Rama Mwelondo TZA at TZA_MillardAyo - 17 hours ago
Ligi Kuu soka Uingereza imeendelea tena October 31, kwa michezo kadhaa kupigwa wakati klabu ya Chelsea ya Uingereza iliyochini ya kocha wa kireno Jose Mourinho iliwakaribisha majogoo wa jiji Liverpool katika dimba la Stamford Bridge kucheza mechi yake ya 11 katika Ligi. Chelsea iliingia uwanjani ikiwa na presha ya rekodi mbovu ambayo imetokana na kutokufanya […] The post Full Time ya Chelsea Vs Liverpool October 31 (+Pichaz&Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

Ndege imeanguka Egypt na watu zaidi ya 200… chanzo? vifo? hiki ndio kilichonifikia (+Video)

Newsroom TZA at TZA_MillardAyo - 17 hours ago
Ni mara chache sana tunakutana na ripoti kuhusu ajali za ndege ukilinganisha na ajali za usafiri mwingine kama magari na meli… hiyo sifa imefanya usafiri wa ndege kupewa namba moja ya usafiri salama zaidi Duniani kwa muda mrefu !! Ndege ya abiria iliyokuwa inamilikiwa na Russia imeripotiwa kupata ajali saa chache zilizopita, kulikuwa na ripoti tofauti kuhusu […] The post Ndege imeanguka Egypt na watu zaidi ya 200… chanzo? vifo? hiki ndio kilichonifikia (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

Kauli ya kwanza ya Dr. Magufuli baada ya ushindi wa Urais na shangwe za Lumumba.. (Video)

Newsroom TZA at TZA_MillardAyo - 19 hours ago
Baada ya Rais mteule wa Tanzania, Dr. John Magufuli na Makamu wake Mama Samia Suluhu Hassan kukabidhiwa cheti na Tume ya Uchaguzi NEC, safari ilianza toka Ukumbi wa Diamond Jubilee Upanga mpaka Ofisi za CCM mtaa wa Lumumba Dar ambapo wanaCCM na viongozi wengine walikusanyika. Video yake kwenye kile alichokisema kwenye Jukwaa la CCM mtaa wa […] The post Kauli ya kwanza ya Dr. Magufuli baada ya ushindi wa Urais na shangwe za Lumumba.. (Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

Pichaz 26 za ndani ya Viwanja vya michezo ‘Kidongo Chekundu’ Dar kwenye ubora wake..

Kasampaida TZA at TZA_MillardAyo - 20 hours ago
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake, Rais Jakaya Kikwete ni kiongozi ambaye kwenye vitu atakavyokumbukwa kwa kuvifanya wakati wote wa uongozi wake ni juhudi zake kwenye kuinua Michezo TZ. Ili Tanzania ifanye vizuri kwenye michezo kazi kubwa bado inatakiwa kufanyika, kinyume cha hapo hakuna miujiza itakayokuja kubadili hali na kuipandisha zaidi […] The post Pichaz 26 za ndani ya Viwanja vya michezo ‘Kidongo Chekundu’ Dar kwenye ubora wake.. appeared first on TZA_MillardAyo.

Rais mteule Dr. Magufuli alivyokabidhiwa cheti baada ya ushindi Dar es Salaam.. #FullVideo

Newsroom TZA at TZA_MillardAyo - 21 hours ago
Hii shughuli ilikuwa October 30 2015, ndani ya Ukumbi wa Diamond Jubilee Upanga Dar es Salaam… WanaCCM pamoja na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais Kikwete, pamoja na viongozi wengine wa vyama vya Siasa, Dini walijitokeza kushuhudia hatua nyingine ya kumalizia mchakato wa kumpata Rais wa awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tukio […] The post Rais mteule Dr. Magufuli alivyokabidhiwa cheti baada ya ushindi Dar es Salaam.. #FullVideo appeared first on TZA_MillardAyo.

"Comprehensive List of Official Public Holidays Worldwide in 2025"

General overview of official public holidays in 2025 observed around the world. Note that these holidays vary by country, region, and cultur...

HOT POSTS