Moussa Balla Conte


Moussa Balla Conte ajiunga na Yanga SC!

 ðŸŸ¡⚫️



Leo, Moussa Balla Conte ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Klabu ya Yanga SC, akitokea CS Sfaxien ya Tunisia, baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu. Hii ni baada ya sintofahamu kubwa kuhusu usajili wake, huku habari zikimhusisha na Simba SC. Lakini, Yanga SC imefanikiwa kumchukua Conte, na sasa huduma zake ni mali ya Wananchi kuelekea msimu mpya.

Kwa usajili huu, unawapa Wananchi asilimia ngapi ya mafanikio ya usajili? 👉 Je, Conte ni mchezaji ambaye ataongeza nguvu kwenye safu ya kiungo wa Yanga SC?

#YangaSC #MoussaBallaConte #Wananchi #Usajili #Soka #Tanzania #Mchezo



Post a Comment

Previous Post Next Post