Skip to main content

UHURU WA KIFEDHA NA SARAFU ZA KIDIGITARI


UHURU WA KIFEDHA  NA SARAFU ZA KIDIGITARI
swahili version:

Zingatia kwenye Mifumo ya kifedha inayojaribu kutoa uhuru kwenye kufanya miamala kwenye Maisha ya kila siku biashara nyingi zimefunguliwa  kumuweze mtu au watu kupata kipato cha kila siku. Masoko huru kutoka masoko ya mahali mpaka mitandaoni nayo imeongezeka kumuwezesha na kuwawezesha  watu kufikia malengo yao, Papo hapo makampuni nayo yamekuwa yakitumia huo mwanya kujipatia faida kutokana na miamala ya kila siku ,Hakika haya ni mapinduzi ya ridhiki kwa watu.
Hatua hizi zote  zimekuwa zikishambuliwa na hisia mbali mbali hisia za vijana zimekua nikipaumbele  kwenye kuzisogeza mbele hizi mbinduzi zisizo Isha . Tuone hili ambalao halina miaka mingi likiwa limenusuru na linakwenda kunusuru vijana
Miaka ya hivi karibun kumeibuka mifumo mipya ambayo kwa kiasi kikuwa haija fahamika sana kwenye jamii zetu zakiafrika wachache wao wamekuwa wakiitumia iyo mifumo,maarufu kama uwekezaji wakidigitary ,kuwekeza kwenye SARAFU ZA KIDIGITARI.

SARAFU ZA KIDIGITARI
Hizi ni sarafu zilizo kwenye mfumo maalumu unaoweza kumtambua mtumiaji popote alipo Duniani kwa pochi au waleti aitumiayo kuifadhi hizo sarafu.hizi hasa ni nini? Ni namba tu kwa uelewa wa kawaida  zilizothaminshwa kifedha zenye mfumo maalumu wa upatikanaje wake,unaweza kuzidharisha ama kununua kwenye masoko mbalimbali Duniani

JE ZIKO NGAPI?
Ziko zaidi ya mia moja kwenye masoko mpaka hivi sasa, Kuna aina nyingi za sarafu za kidigari na zinaendelea kuanzishwa na  huwanzishwa kwa idadi maalumu sokoni kisha huachwa kusambaa, nyingine unaweza kuzalisha kwa kutumia mifumo maalumu nyingine haiwezekani kuziongeza idadi.  Zijulikanazo sana ni  BITCOINETHEREUM, BITCOINCASH, LITECOIN na zingine nying zaidi ya mia (100).

NI MFUMO GANI HUO HUTUMIA?
Mfumo huoa unaitwa BLOCKCHAIN TECHNOLOGY mfumo huu wa kidigitari unaongozwa na watu tofauti tofauti duniani ata wewe unaweza ukawa mmoja wa watu hao,hauwezi kuuvunja ni mfumo tawanya na wenye nguvu (decentralization system) kila mtu anaeshiriki kwenye mfumo huu huuongezea ufanisi wa ufanyaji kazi wa mfumo huo.

NAWEZAJE KUWEKEZA NA SARAFU ZAKIDITARI
Unawezaje kupata pesa kwenye uwekezaji wasarafu za kiditari,kama ilivyo sifa ya pesa sarafu hizi nazo huwa na sifa ya kupanda nakushuka kutokana na uhitaji na usambazaji (Demand and Supply),Upandaji na ushukaji wake ni wa hali ya juu kiasi cha kutia shaka kidogo hivyo inahusishwa na Risks (hatari au hisia yakupoteza),ufanisi wa kuweza kuimudi hii hatari au hisia unatakiwa.

NIFANYE NINI ILI KUWEKEZA  NIWEZE PATA PESA
Nunua kwenye masoko ya mtandaoni au kwa mtu unae mfahamu mara zote hununuliwa pindi sarafu imeshuka na huuzwa pindi sarafu imepanda utauza kwenye masoko ya mpadilishano wa pesa, Ambao upo kwenye mtandao pia kupitia masoko mbalimblai ya ubadilishaji na uuzaji (TRADING PLARTFORMS NA EXCHANGES ) wa hizi sarafu.

NAHIFADHI WAPI SARAFU YA KIDITARI?
Kuna pochi au wallet maalumu ya kuhifadhia ambazo ziko kwenye mitandao tofauti tofauti,kumbuka ni Sarafu isio shikika inakaa mtandaoni kwenye pochi au wallet za kimtandao mabapo utapewa funguo au neon siri(key or password) za hiyo pochi wewe na wewe tu unaeweza kuimudu iyo pochi usimpe mtu funguo yako (key) au password neno siri kwa usalama wa sarafu zako.pia utawe anuani au address jamii (public address) kupitia hizo utaweza kutuma au kutukiwa na mtu mwengine hizo unaweza kumpa mtu mwengine ili akurushie au akakupa mtu ili umrushie sarafu kwenye pochi au waleti yake ya mtandaoni.

NITAUZIA WAPI?
Unaweza pata pochi au waleti kwa kufungua account kwenye hizi website za mauzo jaza tarifa  zako ili kuweza kumiliki pochi au wallet yako ya mtandaoni Unaweza change kati ya zifatazo. 


Locabitcoint:(pochi  Uuzaji na ununuzi)



Remitano:(pochi  Uuzaji na ununuzi)

Coinbase: (pochi/wallet tu Kwa Tz)

Blockchainwalleti(pochi/waleti tu)
https://www.blockchain.com/wallet                                 







KUMBUKA HUU SI USHAURI WAKIFEDHA UMAKINI NA UFAHAMU WAKO UNAHITAJIKA KWENYE KUFANYA BIASHARA NA HIZI ZA SARAFU ZA KIDIGARI AKHSANTE.

Comments

Popular posts from this blog

FINANCIAL FREEDOM WITH DIGITAL CURRENCIES

FINANCIAL FREEDOM WITH DIGITAL CURRENCIES   Pay attention to the financial systems that try to give freedom in making transactions in everyday life, many businesses have been opened to enable someone or people to earn a daily income. Free markets from local markets to the internet have also increased to empower and empower people to achieve their goals, at the same time companies have been using that opportunity to make profit from daily transactions, this is definitely a revolution of satisfaction for people. All these steps have been attacked by various emotions, the emotions of young people have grown, and I have prioritized them in moving forward these non-Isha raids. Let's see this which is not many years old and has survived and is going to save the youth In recent years, new systems have emerged which were not widely understood in our Communities, few of them have been using those systems, known as digital investment, to invest in DIGITAL CURRENCIES.  DIGITAL CURRENCIES...

UDHIBITI WA CHANGAMOTO ZA MADENI

Kudhibiti madeni yaliyozidi uwezo wako wa kulipa ni jambo linalohitaji mpango mzuri na nidhamu ya kifedha. Hapa kuna hatua unazoweza kuchukua ili kuanza kurekebisha hali yako: 1. Tafuta Chanzo cha Tatizo Je, ni matumizi mabaya ya pesa? Je, ni kupungua kwa kipato? Je, ni dharura ambazo hazikupangwa? Ukigundua chanzo, utaweza kuepuka kurudia kosa hilo. 2. Fanya Tathmini ya Madeni Yako Andika orodha ya madeni yako yote (benki, watu binafsi, mikopo ya biashara n.k.). Weka kipaumbele kulingana na riba kubwa na madeni yanayoweza kuleta athari mbaya haraka (kama kukatwa mali). 3. Wasiliana na Wadai Badala ya kukwepa, zungumza nao kuhusu hali yako halisi. Omba mpango wa malipo wa muda mrefu au punguzo la riba ikiwa linawezekana. 4. Tengeneza Bajeti na Uifate Punguza matumizi yasiyo ya lazima. Elekeza pesa kwenye madeni badala ya matumizi ya anasa. Tumia kanuni ya  50/30/20  (50% mahitaji, 30% starehe, 20% madeni na akiba). 5. Tafuta Njia za Kuongeza Kipato Tafuta kazi za ziada kama fr...

Moussa Balla Conte

Moussa Balla Conte ajiunga na Yanga SC!  ðŸŸ¡⚫️ Leo, Moussa Balla Conte ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Klabu ya Yanga SC, akitokea CS Sfaxien ya Tunisia, baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu. Hii ni baada ya sintofahamu kubwa kuhusu usajili wake, huku habari zikimhusisha na Simba SC. Lakini, Yanga SC imefanikiwa kumchukua Conte, na sasa huduma zake ni mali ya Wananchi kuelekea msimu mpya. Kwa usajili huu, unawapa Wananchi asilimia ngapi ya mafanikio ya usajili? 👉 Je, Conte ni mchezaji ambaye ataongeza nguvu kwenye safu ya kiungo wa Yanga SC? #YangaSC #MoussaBallaConte #Wananchi #Usajili #Soka #Tanzania #Mchezo