UHURU WA KIFEDHA NA SARAFU ZA KIDIGITARI
swahili version:
Zingatia kwenye Mifumo ya kifedha inayojaribu kutoa uhuru kwenye kufanya miamala kwenye Maisha ya kila siku biashara nyingi zimefunguliwa kumuweze mtu au watu kupata kipato cha kila siku. Masoko huru kutoka masoko ya mahali mpaka mitandaoni nayo imeongezeka kumuwezesha na kuwawezesha watu kufikia malengo yao, Papo hapo makampuni nayo yamekuwa yakitumia huo mwanya kujipatia faida kutokana na miamala ya kila siku ,Hakika haya ni mapinduzi ya ridhiki kwa watu.
Hatua hizi zote zimekuwa zikishambuliwa na hisia mbali mbali hisia za vijana zimekua nikipaumbele kwenye kuzisogeza mbele hizi mbinduzi zisizo Isha . Tuone hili ambalao halina miaka mingi likiwa limenusuru na linakwenda kunusuru vijana
Miaka ya hivi karibun kumeibuka mifumo mipya ambayo kwa kiasi kikuwa haija fahamika sana kwenye jamii zetu zakiafrika wachache wao wamekuwa wakiitumia iyo mifumo,maarufu kama uwekezaji wakidigitary ,kuwekeza kwenye SARAFU ZA KIDIGITARI.
SARAFU ZA KIDIGITARI
Hizi ni sarafu zilizo kwenye mfumo maalumu unaoweza kumtambua mtumiaji popote alipo Duniani kwa pochi au waleti aitumiayo kuifadhi hizo sarafu.hizi hasa ni nini? Ni namba tu kwa uelewa wa kawaida zilizothaminshwa kifedha zenye mfumo maalumu wa upatikanaje wake,unaweza kuzidharisha ama kununua kwenye masoko mbalimbali Duniani
JE ZIKO NGAPI?
Ziko zaidi ya mia moja kwenye masoko mpaka hivi sasa, Kuna aina nyingi za sarafu za kidigari na zinaendelea kuanzishwa na huwanzishwa kwa idadi maalumu sokoni kisha huachwa kusambaa, nyingine unaweza kuzalisha kwa kutumia mifumo maalumu nyingine haiwezekani kuziongeza idadi. Zijulikanazo sana ni BITCOIN, ETHEREUM, BITCOINCASH, LITECOIN na zingine nying zaidi ya mia (100).
NI MFUMO GANI HUO HUTUMIA?
Mfumo huoa unaitwa BLOCKCHAIN TECHNOLOGY mfumo huu wa kidigitari unaongozwa na watu tofauti tofauti duniani ata wewe unaweza ukawa mmoja wa watu hao,hauwezi kuuvunja ni mfumo tawanya na wenye nguvu (decentralization system) kila mtu anaeshiriki kwenye mfumo huu huuongezea ufanisi wa ufanyaji kazi wa mfumo huo.
NAWEZAJE KUWEKEZA NA SARAFU ZAKIDITARI
Unawezaje kupata pesa kwenye uwekezaji wasarafu za kiditari,kama ilivyo sifa ya pesa sarafu hizi nazo huwa na sifa ya kupanda nakushuka kutokana na uhitaji na usambazaji (Demand and Supply),Upandaji na ushukaji wake ni wa hali ya juu kiasi cha kutia shaka kidogo hivyo inahusishwa na Risks (hatari au hisia yakupoteza),ufanisi wa kuweza kuimudi hii hatari au hisia unatakiwa.
NIFANYE NINI ILI KUWEKEZA NIWEZE PATA PESA
Nunua kwenye masoko ya mtandaoni au kwa mtu unae mfahamu mara zote hununuliwa pindi sarafu imeshuka na huuzwa pindi sarafu imepanda utauza kwenye masoko ya mpadilishano wa pesa, Ambao upo kwenye mtandao pia kupitia masoko mbalimblai ya ubadilishaji na uuzaji (TRADING PLARTFORMS NA EXCHANGES ) wa hizi sarafu.
NAHIFADHI WAPI SARAFU YA KIDITARI?
Kuna pochi au wallet maalumu ya kuhifadhia ambazo ziko kwenye mitandao tofauti tofauti,kumbuka ni Sarafu isio shikika inakaa mtandaoni kwenye pochi au wallet za kimtandao mabapo utapewa funguo au neon siri(key or password) za hiyo pochi wewe na wewe tu unaeweza kuimudu iyo pochi usimpe mtu funguo yako (key) au password neno siri kwa usalama wa sarafu zako.pia utawe anuani au address jamii (public address) kupitia hizo utaweza kutuma au kutukiwa na mtu mwengine hizo unaweza kumpa mtu mwengine ili akurushie au akakupa mtu ili umrushie sarafu kwenye pochi au waleti yake ya mtandaoni.
NITAUZIA WAPI?
Unaweza pata pochi au waleti kwa kufungua account kwenye hizi website za mauzo jaza tarifa zako ili kuweza kumiliki pochi au wallet yako ya mtandaoni Unaweza change kati ya zifatazo.
Locabitcoint:(pochi Uuzaji na ununuzi)
Remitano:(pochi Uuzaji na ununuzi)
Coinbase: (pochi/wallet tu Kwa Tz)
Blockchainwalleti(pochi/waleti tu)
KUMBUKA HUU SI USHAURI WAKIFEDHA UMAKINI NA UFAHAMU WAKO UNAHITAJIKA KWENYE KUFANYA BIASHARA NA HIZI ZA SARAFU ZA KIDIGARI AKHSANTE.
3 comments:
Best Jewellery Retail Software Development India, Jewellery Store Management Software Lucknow, Bullion Trading App Development Services India, Offshore Bullion Trading Platform Software Lucknow India
I am sharing your blog, I am almost done with watching Dynasty, and it is a real good show to watch. Best Fertility Specialist In Hyderabad
ur welcome
Post a Comment