Zingatia kwenye Mifumo ya kifedha
inayojaribu kutoa uhuru kwenye kufanya miamala kwenye Maisha ya kila siku
biashara nyingi zimefunguliwa kumuweze
mtu au watu kupata kipato cha kila siku. Masoko huru kutoka masoko ya mahali
mpaka mitandaoni nayo imeongezeka kumuwezesha na kuwawezesha watu kufikia malengo yao, Papo hapo makampuni
nayo yamekuwa yakitumia huo mwanya kujipatia faida kutokana na miamala ya kila
siku ,Hakika haya ni mapinduzi ya ridhiki kwa watu.
Hatua hizi zote zimekuwa zikishambuliwa na hisia mbali mbali
hisia za vijana zimekua nikipaumbele
kwenye kuzisogeza mbele hizi mbinduzi zisizo Isha . Tuone hili ambalao
halina miaka mingi likiwa limenusuru na linakwenda kunusuru vijana
Miaka ya hivi karibun kumeibuka mifumo
mipya ambayo kwa kiasi kikuwa haija fahamika sana kwenye jamii zetu zakiafrika
wachache wao wamekuwa wakiitumia iyo mifumo,maarufu kama uwekezaji wakidigitary
,kuwekeza kwenye SARAFU ZA KIDIGITARI.
SARAFU ZA KIDIGITARI
Hizi ni sarafu zilizo kwenye mfumo
maalumu unaoweza kumtambua mtumiaji popote alipo Duniani kwa pochi au waleti aitumiayo
kuifadhi hizo sarafu.hizi hasa ni nini? Ni namba tu kwa uelewa wa kawaida zilizothaminshwa kifedha zenye mfumo maalumu
wa upatikanaje wake,unaweza kuzidharisha ama kununua kwenye masoko mbalimbali Duniani
JE ZIKO NGAPI?
Ziko zaidi ya mia moja kwenye masoko
mpaka hivi sasa, Kuna aina nyingi za sarafu za kidigari na zinaendelea
kuanzishwa na huwanzishwa kwa idadi
maalumu sokoni kisha huachwa kusambaa, nyingine unaweza kuzalisha kwa kutumia
mifumo maalumu nyingine haiwezekani kuziongeza idadi. Zijulikanazo sana ni BITCOIN, ETHEREUM, BITCOINCASH, LITECOIN na
zingine nying zaidi ya mia (100).
NI MFUMO GANI HUO HUTUMIA?
Mfumo huoa unaitwa BLOCKCHAIN
TECHNOLOGY mfumo huu wa kidigitari unaongozwa na watu tofauti tofauti duniani
ata wewe unaweza ukawa mmoja wa watu hao,hauwezi kuuvunja ni mfumo tawanya na
wenye nguvu (decentralization system) kila mtu anaeshiriki kwenye mfumo huu
huuongezea ufanisi wa ufanyaji kazi wa mfumo huo.
NAWEZAJE KUWEKEZA NA SARAFU ZAKIDITARI
Unawezaje kupata pesa kwenye uwekezaji
wasarafu za kiditari,kama ilivyo sifa ya pesa sarafu hizi nazo huwa na sifa ya
kupanda nakushuka kutokana na uhitaji na usambazaji (Demand and
Supply),Upandaji na ushukaji wake ni wa hali ya juu kiasi cha kutia shaka
kidogo hivyo inahusishwa na Risks (hatari au hisia yakupoteza),ufanisi wa kuweza
kuimudi hii hatari au hisia unatakiwa.
NIFANYE NINI ILI KUWEKEZA NIWEZE PATA PESA
Nunua kwenye masoko ya mtandaoni au kwa
mtu unae mfahamu mara zote hununuliwa pindi sarafu imeshuka na huuzwa pindi
sarafu imepanda utauza kwenye masoko ya mpadilishano wa pesa, Ambao upo kwenye
mtandao pia kupitia masoko mbalimblai ya ubadilishaji na uuzaji (TRADING PLARTFORMS
NA EXCHANGES ) wa hizi sarafu.
NAHIFADHI WAPI SARAFU YA KIDITARI?
Kuna pochi au wallet maalumu ya
kuhifadhia ambazo ziko kwenye mitandao tofauti tofauti,kumbuka ni Sarafu isio
shikika inakaa mtandaoni kwenye pochi au wallet za kimtandao mabapo utapewa
funguo au neon siri(key or password) za hiyo pochi wewe na wewe tu unaeweza
kuimudu iyo pochi usimpe mtu funguo yako (key) au password neno siri kwa
usalama wa sarafu zako.pia utawe anuani au address jamii (public address)
kupitia hizo utaweza kutuma au kutukiwa na mtu mwengine hizo unaweza kumpa mtu
mwengine ili akurushie au akakupa mtu ili umrushie sarafu kwenye pochi au
waleti yake ya mtandaoni.
NITAUZIA WAPI?
Unaweza pata pochi au waleti kwa kufungua account
kwenye hizi website za mauzo jaza tarifa
zako ili kuweza kumiliki pochi au wallet yako ya mtandaoni Unaweza
change kati ya zifatazo.
Locabitcoint:(pochi Uuzaji na ununuzi)
Remitano:(pochi Uuzaji na ununuzi)
Coinbase: (pochi/wallet tu kwa Tz)
Blockchainwalleti(pochi/waleti tu)
KUMBUKA
HUU SI USHAURI WAKIFEDHA UMAKINI NA UFAHAMU WAKO UNAHITAJIKA KWENYE KUFANYA
BIASHARA NA HIZI ZA SARAFU ZA KIDIGARI AKHSANTE.
No comments:
Post a Comment