Swahili version
Hivi sasa Familia inazungumza na wanahabari kutoa maneno ya familia kwa wanajamii wa Tanzania Na Dunia kwa Ujumla ikumbikwe kuwa Mfanyabiashara Maarufu na Bilionea mdogo Afrika Mohammed Dewji (MO) Bado kupatikana taaifa zikiwa zimethibitishwa na mkuu wa MKoa mheshimiwa Paul Makonda Jiji Dar es salam Tanzania Taarifa za zaidi zitaendelea kutolewa kadri zitakapofikia kwenye meza za blog Mungu NI Mwema , Maombi ya Mashehe wa Dar es salam na Tanzania Pamoja na Maaskofu na nguvu za police zinaendelea kuongezwa kuakikisha MO Dewji Anapatikana
SASA familia kuzungumza na Jamii
No comments:
Post a Comment