SWAHILI VERSION WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ''TAMISEMI'' ameutangazia umma jumla ya walimu 4,549 waliochaguliwa wamepangiwa kufundisha katika shule za msingi na Sekondari. Kwa mujibu wa Waziri Huyo Seleman Jafo ni kwamba TAMISEMI ilipata kibali cha kuajiri jumla ya walimu 4, 549 na kibali hicho kilikuwa kwa ajili ya walimu was shule hizo na hasa katika maeneo yaliyo na upungufu. Akizungumza leo Aprili 27,2019 jijini Dar es Salaam Seleman Jafo amesema jumla ya waombaji 91,108 waliotuma maombi ya nafasi mbalimbali zilizotangazwa na kati yao maombi 43,770 sawa na 48.04% ...
ATTRACTIVE AND CLEAR INFORMATION ON DIFFERENT ASPECTS COVER ONLINE BUSINESS ISSUES